Kwa Ngwaru

Kwa Ngwaru

Harmonize
Kwa Ngwaru by Harmonize featuring Diamond Platnumz

Iyoo Lizer

Hmm
I wish ninge kuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama
Niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba
Masanja Joti
Usiwe mbali nami
Hmm

My darling, I need you love oh
Uwe nami
Haki ya mungu nakupenda
Nobody can show your love oh
Usiwaamini
Ukisha wapa wanakwenda

Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Deka nikudekeze
Nikutunze kama mboni (iyelewi)
Wakija uwapoteze
Jifanye kama huwaoni (iyelewi)
Kisha uniongeze
Ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)

Ooh baby
Asa dance nikuone (kwa ngwaru)
Wa bami jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oooh baby.
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa bami jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

Aaga

Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa
Nikumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu mie wa makuti
Usinijie na kiberiti
(Hasa wee)
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti
(Hasa wee)
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti
(Hasa wee)
Ila asiniingie shetani
Nawe nikaja kukucheati

Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (iyelewi)
Weka mate niteleze
Kama nyoka pangoni (iyelewi)

Ooh baby
Asa dance kidogo (kwa ngwaru)
Oh wabanwe choo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oooh baby.
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa bami jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

Aaga

Unataka kucheza chura na ingali umesimama
Ai inama inama
Asa waoneshe
Ai inama inama
Unachezaje
Ai inama inama
Unataka maji ya kisima na mwoga wa kuchutama
Ai inama inama
Ebu waoneshe
Ai inama inama
Unachotaje
Ai inama inama
Unataka kupiga deki wima umesimama
Ai inama inama
Ebu tuoneshe
Aah, inama inama
Unapiga je
Ai inama inama
Si unataka vya pool table sa mbona unajibana
Ai inama inama
Ebu tuonyeshe
Ai inama inama
Unalenga je
Ai inama inama

(Wasafi Record)
Oya, wanangu wa kigogo (ai inama)
Nipe za Mose Iyobo (ai inama)
Vunja vunja kidogo (ai inama)
Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)