Kwetu

Kwetu

Rayvanny
Kwetu by Rayvanny, song lyrics

Verse 1
Sifa kwa mola wangu maulana
Kwa mengi aliyo fanya 
Hadi mimi na wewe Kukutana 
Kisura
Sijapanga kudanganya
Ntasema Ukweli mama 
Kisa na kupenda sana
Kisura
Unasema wanipenda
Ila Maisha yangu Maseke
Michicha Milenda ndo menyu yangu 
Na ya kuku mateke
Yani chenga kila siku kilio cha
Sa lini ni cheke
Sina tenda ugali bugurui
Mboga temeke
Nafurahi umeniridhia 
Niwe na wewe kimwali   
Maisha yangu mitihan 
Isiyoisha maswali
Ukifika nyumbani 
Vumilia maana khali 
siyo shwari
Asubuh mchana pakavu
jioni ndo kula futali

Chorus
Tena huku kwetu
Muda wote mateja wanatinga 
Viwalo vyetu ukifua 
Kumbuka kuvilinda
Huku kwetu
Muda wote mateja wanatinga 
Aiieeh Mwali ee
Swali la nyumba na gari  
Me Bado
Me bado
Me bado
Ndo kwanza nimepanga
Bado iyeeee
Me bado
Sina hata kiwanja
Bado
Iyeee
Me bado kulipa kodi majanga 
Bado mimi bado me bado

Verse 2 
Mtaani kwetu heka heka
Ukienda sokon kariri vichochoro
Ghetto na mkeka tu hakuna kitanda 
Shuka Wala godoro
Heka heka hakuna kibatari
Ndani Giza totoro
Mvua ikinyesha nyumba 
Inageuka ka 
Boti ya Comoro
Ila nimeshukupa aaah 
Nimeshakupa Mtima mtima 
Ukija kususa aah
Utanizika mzima mzima
Nimeshakupa nimeshakupa
Mtima mtima
Ukija kususa aah
Utanizika mzima mzima

Chorus
Tena huku kwetu
Muda wote mateja wanatinga 
Viwalo vyetu ukifua 
Kumbuka kuvilinda
Huku kwetu
Muda wote mateja wanatinga 
Aiieeh Mwali ee
Swali la nyumba na gari  
Mimi Bado
Me bado
Me bado
Ndo kwanza nimepanga
Bado iyeeee
Me bado
Sina hata kiwanja
Bado
Iyeee
Me bado kulipa kodi majanga 
Bado mimi bado me bado
Swali la nyumba na gari  
Mimi Bado
Me bado
Me bado
Ndo kwanza nimepanga
Bado iyeeee
Me bado
Sina hata kiwanja
Bado
Iyeee
Me bado kulipa kodi majanga 
Bado mimi bado me bado