Orugambo

Orugambo

Saida Karoli
Orugambo by Saida Karoli, lyrics in Swahili and Kihaya

Nairuka na baza mae aye oige nomuleta
Nikamuuliza baba yangu kasema utafute ulete
Mpaka Daressalaam aye oige noleta
Nimesimama wima nimesimama wima
Mkanda tumboni nitafuteni niletee
 
Maisha na mziki acha maneno weka mziki
Maisha na mziki acha maneno weka mziki

Bojo orugambo
Aii orugambo
Mawe orugambo
Inye namwenzile inye ntikimuleka
Inye namwenzile inye ntikimuleka

Babe umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni
Usije niacha nikaumia mamaa
Babe umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni
Usije niacha nikaumia mamaa

He po po po eeh eh para para eeh
He po po po eh para para
Eh parapara orugamboo
Mawee orugamboo mawee

Aye nkagenda Daressalaama
Nkagenda Daressalaama
Nkagenda Daressalaama
Nabonayo ebintu bingi
Nashangayo abazungu
Nibagamba nekizungu
Nilienda Daressalaama
Nikakuta kwa wazungu
Wanaongea kizungu
Na mimi nikaimba kizingu

Babe give to me aah ahh
Babe give to me aah ahh
Babe give to me aah ahh

Nagenda Daressalaama nashangayo amajungu
Orugambo nibatuma
Nagenda Daressalaama nashangayo amajungu
Orugambo nibatuma
Mbali nkulaba Kodo
Mbali ndikugya Kodo
Mbali nkulaba Kodo
Mbali ntikugya Kodo

Wanakodoa kodo
Wanakodoa macho kodo
Wanakodoa macho kodo
Wanakodoa

Babe umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni
Usije niacha nikaumia mamaa
Babe umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni
Usije niacha nikaumia mamaa
He po po po eeh eh para para eeh
He po po po eh para para
He po po po eh para para